Seventh-day Adventist® Church

Sinza, Dar es salaam, Tanzania Kanisa la Waadventista Wa Sabato Sinza

Menu
Add a Slideshow to see your custom images here
Mr.Malekela Maingu
Kiongozi wa Mawasiliano

LENGO
Kutumia nyanja zote za mawasiliano zinzostahili kwa ajili ya Injili ili kuweka daraja la matumaini kati ya Kanisa na jamii.

MAJUKUMU
  1. Kulihabarisha kanisa kupitia Tovuti, Mitandao ya Kijamii( WhatsApp, Facebook, Twitter, YouTube, na njia zingine zinazostahili.
  2. Kulitambulisha kanisa la Waadventista wa Sabato Sinza kwa Jamii inayotuzunguka na ulimwengu wote.
  3. Kuratibu mahusiano ya jamii na Kanisa kupitia vyombo vya habari kwa lengo la Utume wa Injili.

Sabbath Time | Muda wa Sabato

Place: Dar es Salaam, Tanzania

Start: 06:36 PM, 12/20/2024

End: 06:37 PM, 12/21/2024

Live Media | Tazama live

Copyright ©2015 Sinza Seventh day Adventist Church
Designed By GE Male M